Mfano Wa Katiba Ya Kikundi Cha Familia -

2.3 Kuanzisha miradi ya kiuchumi au mfuko wa akiba kwa ajili ya maendeleo ya wanachama.

Kutoa ada ya kiingilio, michango ya kila mwezi, na michango ya dharura bila kuchelewa. Kulinda siri na heshima ya kikundi na familia kwa ujumla. SURA YA NNE: VYANZO VYA FEDHA NA MENEJIMENTI 4.1 Vyanzo vya Mapato Fedha za kikundi zitapatikana kupitia njia zifuatazo: mfano wa katiba ya kikundi cha familia